Skip to main content
Skip to main content

Ajali 7 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani

  • | BBC Swahili
    22,870 views
    Duration: 2:23
    Takribani Siku mbili zilizopita, ajali mbili za ndege zimetokea. Ndege ya jeshi aina ya C-130 Hercules iliyobeba watu 125 imeanguka Colombia na kusababisha vifo vya watu 34. Huko New York, ndege ya Air Canada AC8646 iligongana na gari la zimamoto kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia Jumapili usiku, ikaua marubani wawili na kujeruhi watu kadhaa wengine. Mwandishi wa BBC Asha Juma anaangazia baadhi ya ajali za ndege zilizoua watu wengi zaidi licha ya njia hiyo ya usafiri kutajwa kuwa bado salama - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw