Ajali barabarani Langata: Dereva wa gari dogo afariki

  • | K24 Video
    Mtu Mmoja Alifariki Kwenye Ajali Mbaya Ya Barabara Wakati Gari Alililokuwa Akiendesha Lilipogonga Mti Kando Ya Barabara Ya Langata Hapa Jijini Nairobi Na Kisha Kushika Moto. Kwingineko Watu 17 Walijeruhiwa Vibaya Kwenye Ajali Mbaya Ya Barabara Wakati Matatu Walimokuwa Wakisafiria Ilipogongana Ana Kwa Ana Na Gari Dogo La Kibinafsi Kwenye Barabara Ya Muranga Kuelekea Sabasaba…Kwa Taarifa Hizi Za Zinginezo Kutoka Maeneo Tofatuti Nchini, Huyu Hapa Dennis Matara