Ajali Elburgon yauwa wanane; wakazi wataka barabara kupanuliwa kuokoa maisha

  • | NTV Video
    200 views

    Idadi ya wanakijiji waliofariki katika ajali ya barabara huko Elburgon kaunti ya Nakuru imepanda had watu wanane, huku baadhi ya wanakijiji walionusurika ajali za awali eneo hilo akitaka serikali kuzingatia kupanuliwa kwa barabrabra hiyo ambao wanadai ni tishio kwa uhai wa wanaotumia barabara hiyo kila siku.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya