Ajali ilitokea kwenye barabara kuu ya Kisumu - Nairobi

  • | Citizen TV
    5,195 views

    Watu 11 wamefariki na wengine zaidi kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Othoo, eneobunge la Nyando kwenye barabara kuu ya Kisumu - Nairobi asubuhi ya leo. Inaripotiwa kuwa basi lililokuwa likisafiri kuenda Nairobi kutoka mji wa Kampala lilipoteza mwelekeo na kugongana ana kwa ana na lori lililokuwa likiingia Kisumu. Laura Otieno na taarifa zaidi