Ajali ya helikopta Meru ilisababishwa na hali ya rubani kutokuwa na ufahamu kuhusu hali ya hewa

  • | KBC Video
    Imeripotiwa kuwa ajali ya helikopta iliyotokea tarehe 13 mwezi Juni mwaka uliopita katika kaunti ya Meru ilisababishwa na hali ya rubani kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu hali ya hewa. Waziri wa uchukuzi James Macharia amesema uamuzi wa kuendelea na safari licha ya hali mbaya ya hewa ulichangia kutokea kwa ajali hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive