Ajali ya ndege Mwihoko, watu sita wafariki

  • | Citizen TV
    7,509 views

    WATU SITA WAMEAGA DUNIA BAADA YA NDEGE AINA YA CESSNA INAYOMILIKIWA NA SHIRIKA LA AMREF KUANGUKA KATIKA ENEO LA MWIHOKO HUKO GITHURAI KAUNTI YA KIAMBU. NA KAMA ANAVYOARIFU FRANKLIN WALLAH, MIONGONI MWA WALIOFARIKI NI WATU WANNE WALIOKUWA KWENYE NDEGE NA WENGINE WAWILI WALIOKUWA NDANI YA NYUMBA ILIYOANGUKIWA NA NDEGE HIYO