- 4,370 viewsDuration: 4:11Saa chache baada ya Tarehe ya mazishi ya watu sita walioangamia katika ajali ya ndege kule Mosop kaunti ya Nandi kutangazwa, Viongozi wa kaunti ya Narok wamefanya kikao maalum nyumbani kwake Marehemu mbunge Johana Ngeno na kutoa maelezo zaidi kuhusu mipango ya mazishi . Aidha walihimiza umuhimu wa shughuli hiyo ya Ijumaa kuendeshwa kwa amani.