Ajali ya ndege Tanzania: Maiti 19 za watu waliofariki katika ajali ya ndege Tanzania yaagwa

  • | KTN News
    2,078 views

    Nchini Tanzania maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyoanguka katika ziwa victoria asubuhi ya siku ya Jumapili. Ndege hiyo ya abiria namba pw 494 iliyokuwa na watu 43 mali ya shirika la Precision Air ambalo kwa sehemu linamilikiwa na kenya airways, ilikuwa inatoka Dar Es Salaam kwenda Kagera, mkoa wa kaskazini magharibi mwa Tanzania. #trending #KTNNews #livestream #ktnprime KTN News Live ~ Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7

    Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News

    SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

    Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

    KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews