Ajali ya ndege ya kijeshi | Jenerali Francis Ogolla alifariki miongoni mwa watu 10

  • | Citizen TV
    6,742 views

    Maswali zaidi yanaendelea kuibuka kuhusu chanzo cha mkasa wa ndege uliosababisha vifo vya wanajeshi kumi, akiwemo mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogolla siku ya Alhamisi katika eneo la Kaben kaunti ya Elgeyo Marakwet