Ajali yaua watu kumi huko Salama na miongoni mwa waliofariki ni watoto wanne

  • | Citizen TV
    4,657 views

    Watu kumi akiwemo mtoto wa miaka miwili wameaga dunia kufuatia ajali iliyotokea katika eneo la mlima Kiu eneo la Salama kwenye barabara kuu ya kuelekea Mombasa.