Ajali yawaacha watu kadhaa na majeraha katika eneo la Spring Park

  • | West TV
    222 views
    Afisa mmoja wa polisi ameaga dunia mchana wa leo huku watu wengine wanne wakisazwa na majeraha mabaya kufuatia ajali iliyohusisha trela na pikipiki mbili katika eneo la Spring Park kwenye barabara kuu ya Eldoret - Webuye kaunti ndogo ya Lugari.