- 1,326 viewsMtoto wa kike anayechukuliwa kuwa wa "muujiza" amekuwa wa kwanza nchini Uingereza kuzaliwa na mama kupitia njia ya kupandikizwa kwa kizazi. Mama wa mtoto huyo, Grace Davidson, 36, alizaliwa na shida katika tumbo la uzazi, na dada yake akamsaidia tumbo lake mwaka 2023 katika kile ambacho wakati huo kilikuwa upandikizaji pekee wa uzazi uliofaulu nchini Uingereza. Tangu wakati huo, karibu upandikizaji wa aina hii 135 umefanywa katika nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Marekani, China, Ufaransa, Ujerumani, India na Uturuki na Takriban watoto 65 wamezaliwa. #bbcswahili #uingereza #uzazi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Ajifungua baada ya kupandikiza tumbo la uzazi la dada yake
- 1 Jul 2025 - The government is now appealing to parents, religious leaders, and community elders to take a more proactive role in guiding young Kenyans toward peaceful and lawful means of civic engagement.
- 1 Jul 2025 - The decision, made amid mounting public pressure on the state's response to the unrest, was confirmed in a statement issued Monday by Health Cabinet Secretary Aden Duale.
- 1 Jul 2025 - The autopsies, conducted at Kilome MNH Hospital Mortuary, revealed that Garson Mutisya, 33, and Makau Mualuko, 23, sustained fatal gunshot wounds to the chest, with the bullets exiting through their backs.
- 1 Jul 2025 - A 92-year-old British man was convicted on Monday for a rape and murder committed nearly 60 years ago, in one of the UK's longest-running cold cases.
- 1 Jul 2025 - System failure? Gen Z hit reboot and reset to politics without politicians
- 1 Jul 2025 - OCS Talaam, Mukhwana lose bid to block Ojwang' murder trial
- 1 Jul 2025 - Measles, typhoid outbreaks spur vaccination drive
- 1 Jul 2025 - Grief as Boniface Kariuki dies from gunshot injuries after 12 days in ICU
- 1 Jul 2025 - Isiolo governor's impeachment escalates to full Senate plenary
- 1 Jul 2025 - For Nairobi United to rise, mighty Gor Mahia had to fall