Ajuza wa miaka 93 ateketea hadi kufa chumbani mwake Mabole Butere

  • | West TV
    103 views
    Ajuza mwenye umri wa miaka tisini na mitatu amefariki baada ya kuteketea kwenye nyumba yake usiku wa kuamkia jumatano hii eneo la mabole eneo bunge la butere kaunti ya kakamega