AK imehimizwa kuanza kukumbatia sayansi na teknolojia ili kurejesha hadhi ya riadha nchini

  • | Citizen TV
    230 views

    Shirikisho la Riadha Nchini -AK- limehimizwa kuanza kukumbatia sayansi na teknolojia ili kurejesha hadhi ya riadha nchini. Wadau katika sekta ya Riadha kaunti ya Kajiado wanasema japo Kenya inatambulika kwenye riadha, sasa ulimwengu umebadilika na kuna haja ya Kenya kukumbatia teknolojia kutoa mafunzo kwa wanaridha