Akili mnemba (AI) yatumika katika ugunduzi wa madini Zambia

  • | VOA Swahili
    104 views
    Kampuni moja yenye makao yake katika jimbo la California hapa Marekani, inayofadhiliwa na wafanyabiashara mabilionea, wa sekta ya teknolojia, inasema imegundua amana kubwa za shaba nchini Zambia, kwa kutumia akili mnemba, maarufu AI. Ugunduzi huo unafanyika wakati ambapo mahitaji ya madini hayo yanaongezeka, huku dunia ikiwa katika kipindi cha mpito, kukumbatia vyanzo vya nishati safi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.