- 30,063 viewsDuration: 2:12Alikuwa na miaka 12 tu na tayari wazee walikuwa wamepanga aolewe na mwanaume wa miaka 50. Lakini usiku mmoja, kwa msaada wa kaka yake, Theresia Mollel alitoroka kijijini kwao Ngorongoro hadi Arusha kuokoa ndoto zake. Leo hii, ni mtaalamu wa dawa za usingizi, mama na mke, anayepigania afya na elimu kwa wanawake wa jamii ya kimasai. @marthasarangaalimtembelea Arusha kaskazini mwa Tanzania na kuzungumza nae katika waridi wa BBC. Simulizi hii kwa urefu utaipata katika Youtube ya BBCSwahili #bbcswahili #waridiwabbc #maasai Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw