Akutana na dubu ana kwa ana nyumbani kwake.

  • | BBC Swahili
    548 views
    Tazama mkazi huyu wa North Carolina alivyokutana na dubu ana kwa ana nyumbani kwake. David Oppenheimer alikuwa amepumzika nyumbani kwake wakati dubu alipotokea na kumkaribia hali iliyomfanya ashtuke kwa uoga. Tukio hili lilinaswa kwenye kamera yake ya mlangoni. Ungekuwa wewe ungefanyaje? #bbcswahili #marekani #wanyama