Ali Kiba atoa ushauri kwa wanamuziki kulinda maadili ya jamii

  • | VOA Swahili
    667 views
    Ali Kiba mwanamuziki Mtanzania, maarufu Afrika Mashariki amewaasa wanamuziki wenzake kuzingatia maadili kwa ajili ya malezi ya vijana ambao hivi leo dunia imekuwa kama kijiji na matendo yote ya wanamuziki yanashuhudiwa mubashara kupitia mitandao ya kijamii na vijana hao. Akihojiwa na Sauti ya Amerika wakati akitembelea idhaa ya Kiswahili alikuwa na haya ya kusema... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.