"Alichukua mtoto wangu, alisema, anaenda kumnunulia peremende na biskuti. Ulikuwa uongo."

  • | BBC Swahili
    1,093 views
    Mwaka wa 2019 Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio alichukua hatua ya kijasiri kutangaza ubakaji na unyanyasaji wa kingono kuwa janga la kitaifa. Miaka mitano baadaye, BBC Africa Eye inachunguza kama walionusurika katika mashambulizi wanapata haki. Ripota wa #BBCAfricaEye Tyson Conteh anasafiri hadi Sierra Leone ili kujua kama serikali imetekeleza ahadi zake. #bbcswahili #bbcafrikaeye #sierraleone Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw