"Alikuwa kiongozi mzalendo wa dhati"

  • | BBC Swahili
    1,240 views
    Viongozi wakuu wa serikali na wananchi leo wamejitokeza kumuaga aliyekuwa Rais wa pili wa Tanzania Ali Hasani Mwinyi, katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Mzee mwinyi alifariki jana kwa mujibu wa tarifa ya serikali, Mwinyi alikuwa akisumbuliwa na saratani ya Mapafu. Anatarajiwa kuzikwa kesho visiwani Zanzibar #bbcswahili #tanzania #RIPHassanMwinyi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw