Aliyekuwa afisa wa GSU aomba arejeshwe kazini

  • | KBC Video
    280 views

    Afisa wa zamani wa kitengo cha GSU ambaye aliacha kazi mwaka wa 2005 baada ya kukumbwa na msongo wa mawazo, sasa anaomba asamehewe na kurejeshwa katika huduma ya taifa ya polisi. Mbuti Lakapua ambaye ni mkazi wa ‘Soit pus Angata’ wadi ya Nanyiekie kaunti ya Samburu, anasema anajutia uamuzi wake wa kuacha kazi ambao umemfanya kukata tamaa na kutatizika kuitunza familia yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive