Aliyekuwa balozi wa Kisii Joash Maangi, atuhumiwa kwa ufisadi

  • | Citizen TV
    358 views

    Huku kamati ya bunge kuhusu ulinzi na masuala ya kigeni ikianza kuwahoji watu 27 walioteuliwa kuwa mabalozi katika mataifa mbalimbali ya kigeni, tume ya EACC imeiandikia kamati hiyo waraka ikimtaka aliyekuwa naibu gavana wa Kisii Joash Maangi, ambaye ameteuliwa kuwa balozi wa washington marekani kufunguliwa mashtaka.