Aliyekuwa Gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati ajitetea kwa tuhuma za ufujaji

  • | West TV
    74 views
    Aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Bungoma Wycliffe Wangamati amejitokeza na kujitetea kutokana na madai ya ufujaji wa fedha za kaunti hiyo kwa miradi tata iliyochunguzwa na jopo kazi la Gavana wa Sasa Ken Lusaka