Aliyekuwa gavana wa Kakamega Oparanya achunguzwa kwa ufisadi

  • | Citizen TV
    2,727 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi inamtaka aliyekuwa gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kujibu mashtaka yanayohusiana na ufisadi. Oparanya anadaiwa kupokea pesa kutoka kwa kampuni sita ambazo zilipewa kandarasi 60 za zaidi ya shilingi bilioni 2.2.