Aliyekuwa gavana wa Murang'a Mwangi wa Iria kupambana na ufisadi

  • | Citizen TV
    889 views

    Aliyekuwa gavana wa Murang'a Mwangi wa Iria ameondoka katika kituo cha polisi cha tume ya maadili na kupambana na ufisadi- EACC- baada ya kujisalimisha kuandikisha taarifa.