Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ametakiwa kwa mara nyingine kufika mahakamani alhamisi ijayo

  • | KBC Video
    Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko ametakiwa kwa mara nyingine kufika mahakamani alhamisi ijayo wakati wa kutajwa kwa kesi ya ufisadi inayomkabili. Sonko ambaye alitarajiwa kufika mahakamani leo hakufanya hivyo huku mawakili wake wakijulisha mahakama kwamba amelazwa hospitalini na hangeweza kufika mahakamani Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive