Aliyekuwa Jaji Mkuu Willy Mutunga alijipata katika vurugu baada ya maandamano ya sabasaba

  • | Citizen TV
    5,418 views

    Aliyekuwa Jaji Mkuu Willy Mutunga alijipata katika vurugu zilizoshuhudiwa katika kituo cha polisi cha central hapa jijini Nairobi asubuhi ya Jumamosi. Mutunga alikuwa ameandamana na wanaharakati wa mashirika za kutetea haki za kibinadamu kutaka kuachiliwa kwa waandamanaji waliokamatwa siku ya ijumaa wakati wa maandamano za saba saba