Aliyekuwa jaji mkuu,David Maraga amewataka magavana kuimarisha vita dhidi ya Ufisadi

  • | KBC Video
    Aliyekuwa jaji mkuu, David Maraga amewataka magavana kuwa msitari wa mbele katika vita dhidi ya ufisadi. Maraga amesema ufsadi ungali adui mkubwa katika nchi hii na hivyo unapaswa kukomeshwa kwa vyovyote vile kwani unadidimiza raslimali za kiuchumi. Maraga alisema hayo kwenye dhifa iliyoandaliwa na baraza la magavana baada ya kustaafu kutoka idara ya mahakama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive