Aliyekuwa katibu wa Wizara ya Afya Peter Tum ajitetea

  • | Citizen TV
    492 views

    Aliyekuwa katibu katika wizara ya afya wakati wa sakata ya neti za kuzuia mbu katika mamlaka ya KEMSA Peter Tum, amejitetea mbele ya kamati ya Seneti kuhusu afya akisema kuwa zabuni hiyo haikuwa chini ya idara yake. Tum ameiambia kamati hiyo kuwa zabuni hiyo ilikuwa katika afisi ya katibu aliyefutwa kazi Josphene Mburu.