Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga aachiliwa kwa dhamana

  • | K24 Video
    87 views

    Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga atajipata mashakani iwapo atatoa taarifa yeyote kwa vyombo vya habari kuhusiana na mashtaka dhidi yake jaji Kibyelion Kipkurui amesema iwapo atakiuka maelekezo hayo atakamatwa na kupoteza dhamana aliyopewa . Maina Njenga ameachiliwa kwa dhamana ya ksh. 100.000, mawakili wake wanasema mashtaka dhidi yake yana msukumo wa kisiasa