Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa mbunge wa Matungu, David Were ataka haki baada ya mwanawe kuuawa

  • | Citizen TV
    839 views
    Duration: 2:24
    Aliyekuwa mbunge wa Matungu, David Were, sasa anataka haki kufuatia kuuawa kwa mwanawe Hannington Were katika mazingira ya kutatanisha, huku tukio hilo likizua hofu kuhusu ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika Kaunti ya Kisumu.