Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa makavazi nchini Mzalendo Kibunjia amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi

  • | Citizen TV
    2,025 views

    Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la makavazi nchini Dkt Mzalendo Kibunjia ni miongoni mwa maafisa wanne wa shirika hilo waliokamatwa na maafisa wa tume ya ufisadi EACC kwa tuhuma za kuwalipa wafanyikazi hewa millioni mia nne tisini.