Aliyekuwa mkurugenzi wa makavazi ashtakiwa

  • | Citizen TV
    4,946 views

    Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa makavazi ya kitaifa mzalendo kibunja ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni tano baada ya kukanusha mashtaka ya kufuja zaidi ya shilingi milioni 440 kutoka kwa taasisi hiyo. Kibunja alifikishwa mahakamani pamoja na washukiwa wengine wanne ambao pia walikabiliwa na mashtaka sawia.