Aliyekuwa mkurugenzi wa makavazi ya kitaifa ashtakiwa pamoja na washtakiwa wenza watatu

  • | Citizen TV
    147 views

    Aliyekuwa mkurugenzi wa makavazi ya kitaifa Mzalendo Kibunja pamoja na washtakiwa wenza watatu wamefikishwa mbele ya hakimu Victor Wakhumile na kushtakiwa na mashtaka Tisa ikiwemo utumizi mbaya wa mamlaka, ufujaji wa pesa na kupanga njama ya kuilagai serikali zaidi ya shilingi million 440.