Aliyekuwa mkuu wa majeshi Jen. Mstaafu Daudi Tonje aomboleza

  • | Citizen TV
    1,078 views

    Aliyekuwa mkuu wa majeshi jenerali mstaafu Daudi Tonje anakumbukwa kwa mageuzi katika idara ya ulinzi na haswa upishanaji wa mamlaka ya kijeshi.