Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezidi kumkashifu Rais William Ruto

  • | Citizen TV
    12,410 views
    Duration: 2:10
    Aliyekuwa Naibu rais rigathi gachagua amezidi kumkashifu Rais William Ruto na serikali yake, akitaja uongozi wake kama unaofuga ufisadi. Akizungumza katika kaunti za Kiambu, Muranga na Nyeri, Gachagua amesema kuwa eneo la mlima kenya halitampigia kura tena rais ruto akisema kuwa aliwacheza shere.