Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua azindua chama cha DCP akisema ako tayari kuwaskiza wananchi

  • | Citizen TV
    5,317 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezindua chama chake cha Democracy for the Citizens Party - DCP - leo, akiahidi kukitumia kumtimua Rais william Ruto kutoka mamlakani mwaka wa 2027. Gachagua aliteuwa kikosi cha viongozi 27 kuongoza chama hicho chini ya uenyekiti wa david Mingati huku cleophas Malala akitajwa kuwa naibu mwenyekiti.