Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa alazwa hospitalini Karen

  • | KBC Video
    72 views

    Mwenyekiti wa shirika la Kenya Water Towers Agency Rashid Echesa amelazwa katika hospitali ya Karen baada ya kukesha katika kituo cha polisi cha Muthaiga. Mawakili wake na seneta wa kaunti ya Kakamega Boni Khalwale wamesema Echesa alikuwa akivuja damu alipofanyiwa upasuaji kabla ya kukamatwa kwake siku ya alhamisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive