Aliyekuwa waziri wa usalama Fred Matiang’I arudi kutoka ughaibuni

  • | Citizen TV
    5,560 views

    Waziri wa zamani wa usalama Dkt. Fred Matiang’i amerejea nchini baada ya ziara ya wiki mbili Uingereza. Matiang'i amewasili baada ya ati ati kugubika kuondoka kwake nchini, pindi baada ya maafisa wa idara ya uchunguzi kuvamia nyumbani kwake.