16 Mar 2026 7:37 pm | Citizen TV 100 views Duration: 45s Alvin Alukwe, mkazi wa eneo la Njiru Kaunti ya Nairobi, amejishindia zaidi ya shilingi milioni mbili kupitia jukwaa la Shabiki.com baada ya kushiriki katika mchezo maarufu wa Jet-X.