"Amani ni muhimu zaidi kwangu kuliko kupiga kura"

  • | BBC Swahili
    411 views
    Takriban wapiga kura milioni 1.5 wanaoishi katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa M23 hawatashiriki katika uchaguzi ujao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kwa maelfu ya watu waliohamishwa na mapigano kama vile Musabi, amani ndio kitu pekee chenye umuhimu kwao. #bbcswahili #DRC #uchaguzicong02023 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw