Amani Wakati wa Uchaguzi | Vituo Kuanzishwa kote Nchini Kuhudumia Maswala yoyote ya Uchaguzi

  • | KBC Video
    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa itaanzisha vituo katika maeneo yote kote nchini ili kuwawezesha wananchi kuripoti maswala yoyote yanayoibuka ya kiuchaguzi. Tume ya NCIC imesema kuwa vituo hivyo vitapeleka huduma zake karibu na watu na pia kuwa vituo vya mawasiliano. Haya yanajiri huku tume hiyo kwa ushirikiano na kituo cha bara ulaya kuhusu maswala ya uchaguzi zikizindua mradi wa kuleta amani humu nchini kwa lengo la kudumisha amani na uwiano nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #NCIC #Amani #Uchaguziwa2022