Amani ya kudumu Kerio Valley

  • | Citizen TV
    128 views

    Baada ya kuuwawa kwa padre Aloise Bett katika eneo la Kerio valley kaunti ya Elgeyo Marakwet, wazee kutoka kaunti tano za Bonde la ufa wamepanga kikao ili kutafuta njia mbadala ya kuleta usalama wa kudumu eneo hilo