Amina: Mtoto mchanga anusurika kifo baada ya kupigwa risasi mbili

  • | BBC Swahili
    Amina alikua ni mmoja wa manusura wenye umri mdogo zaidi katika wodi ya kujifungulia nchini Afghanstan. Mama yake alipigwa risasi na kufa. Baba yake Amina anaelezea wakati alipompoteza mke wake na jinsi binti yake alivyotaabika kuishi. #Afghanistan #Mtoto #Ugaidi