Skip to main content
Skip to main content

Amina: Ujenzi wa soko la samaki la malindi umefikia 95%

  • | Citizen TV
    96 views
    Duration: 2:29
    kamati ya maswala ya Uchumi wa bahari na maziwa kutoka bunge la kitaifa iliamuru kuongezwa kwa shilingi milioni 55 za kukamilisha Soko la samaki lililokwama kwa muda mrefu huko malindi kaunti ya kilifi. Wakizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo, wavuvi eneo hilo wameitaka serikali kupambana na kesi za ufisadi katika miradi ya KEMSFED. Kulingana na mbunge wa Malindi Amina mnyazi ujenzi wa soko hilo umekamilika kwa asilimia 95.