AMKA NA BBC JUMANNE 15/09/2020: Wagombea Zanzibar wanadi sera. Je zinatekelezeka ?

  • | BBC Swahili
    Habari za asubuhi! Miongoni mwa tuliyokuandalia katika Amka na BBC leo hii..Marekani imezuia uingizwaji wa bidhaa mbalimbali kutoka katika jimbo la Xinjiang nchini China. Sherehe za siku ya kuhifadhi mto Mara zinafanyika hii katika kaunti za Narok na Bomet nchini Kenya. Wagombea wa vyama vya kisiasa visiwani Zanzibar,waendelea kunadi sera zao,huku raia wakidai wanataka kusikia sera zenye uhalisia na zinazotekelezeka. #AMKANABBC #UCHAGUZITANZANIA2020 #ZANZIBAR