Skip to main content
Skip to main content

Amnesty International yaelezea wasiwasi kuhusu uhuru na uwazi wa uchaguzi nchini Tanzania

  • | Citizen TV
    6,611 views
    Duration: 3:46
    Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International linaelezea wasiwasi kuhusiana na uhuru na uhaki wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, chini ya siku kumi kabla ya uchaguzi huo kufanyika. Shirika hili haswa likielezea kusikitishwa na ukiukaji wa haki za kibinaadamu hususan kwa wagombea wa upinzani, watetezi wa haki na wanahabari