Amri ya Murkomen kwa polisi kupiga raia risasi yakosolewa

  • | Citizen TV
    8,799 views

    Chama cha Mawakili LSK kimekashifu vikali amri ya Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen kwa maafisa wa polisi kuwapiga risasi watu watakaovamia vituo vya polisi .