Anaemia: Janga ‘liliofichwa’ kwa wanawake India

  • | BBC Swahili
    514 views
    Mehnrunnisa Salman Khan alipoteza mapacha kutokana na upungufu wa seli nyekundu za damu unaojulikana kama anemia. India imekuwa na kampeni ya miaka 50 ya kutokomeza ugonjwa huo lakini zaidi ya nusu ya wanawake bado wanaugua. Anemia ni hali ya kupungua kwa idadi ya chembe nyekundu za damu zenye afya (RBCs) au kiwango kilichopungua cha himoglobini (Hb) na kushindwa kubeba oksijeni ya kutosha mwilini. #bbcswahili #afya #anaemia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw