Anastacia Katumbi na Doreen Kagendo ndio washindi wa Skiza Chapaa

  • | Citizen TV
    481 views

    Anastacia Katumbi na Doreen Kagendo ndio washindi wa kwanza kabisa wa zawadi ya shilingi laki moja kwenye mashindano ya kila mwezi ya Skiza Chapaa.